Kuhamia internet ya Voda

Kuhamia internet ya Voda

PAMPUXX

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
39
Reaction score
6
Habari wadau!
Ninatumia internet ya TiGO katika simu yangu,lakini kuna kipindi naona inanizingua sana nimeamua nihamie Voda,mdau yoyote anayejua setting za internet ya Voda kwenye simu anisaidie ili nihamie huko.
natanguliza shukurani.
 
bila kusema ni simu ya aina gani ni vigumu kidogo ila kwa kawaida settings za tigo na za voda zinaingiliana..kwa maana ya kwenye connection settings unaweka APN : internet User-name na password unaweka blank na connection name unaweka jina lolote...but kama nilivyosema sasa kufika huku inategemea na aina ya simu unayotumia..isitoshe umeshajaribu kuweka line hiyo ya voda na ikagoma ku connect?
 
sijajaribu bado kuweka line ya Voda...simu ni Samsung galaxy S3
 
Kaka usiumie kichwa wewe weka hiyo line ya voda kwa kuwa itakuwa ni mara ya kwanza umeweka kwa hiyo galaxy s3 basi voda watakutumia setting wenyewe hiyo ndio raha ya voda tofauti na mitandao mingine
 
Back
Top Bottom