msaada wa office 2013

msaada wa office 2013

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
wadau,sikuwepo jukwaa hili kwa muda mrefu sijui kama kuna thread yenye ninachiokihitaji but nimejaribu kuangalia thread zilizopita sijaona yenye office 2013, msaada pls mwenye nayo au link anipatie niweze kuipakua pamoja na activator yake
asanteni
 
ebu jaribu hii inaitwa kingsoft office suite. ni alternative microsoft. binafsi nimeipenda sana na iko free. ukubwa wake ni mb 46 tu.
 
kaserch kwene torrents mkuu.. Then tumia power iso kuinstall iyo office.. Nilifanya ivo..
 
thanx wadau,ngoja nijaribu kuitafuta hiyo mkuu
 
ebu jaribu hii inaitwa kingsoft office suite. ni alternative microsoft. binafsi nimeipenda sana na iko free. ukubwa wake ni mb 46 tu.

mkuu ndio naipakua hiyo kitu lakini nimekutana na maelezo hapa ya faida na hasara ukilinganisha na microsoft office, vipi haina noma sana ?
Pros
  • Cheaper alternative to Microsoft Office
  • Compatible with Microsoft Office files
  • Encrypt and convert documents to PDF
  • Lightweight

Cons
  • Lacks more powerful features of Microsoft Office
  • Presentation tool not as powerful as Powerpoint
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom