Msaada Tecno imejirock

Msaada Tecno imejirock

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,504
Reaction score
7,439
Wataalamu naomba msaada simu yangu ya tecno niliweka chaji nikiwa nimeizima nimeitoa nikaiwasha huwa natumia password nashangaa nikiingiza naambiwa wrong passwad ni tecno cha zamani tu tecno 605,nifanyaje ili nifungue
CC cmkwawa na wataalaam wote katika jukwaa hili
"Vox popoli vox dei"
 
Piga *#12345# ok kisha rudisha majibu

Kiongozi unajua ni hivi simu nilizima nikaweka chaji,sasa ninapoiwasha huwa naingiza passwad ndo ifunguke,ulichonielekeza nikibonyesha *#hazionyeshi chochote mpaka namba
 
Inaniambia Input phone lock code,nashanga kwanini ile ya zamani inasema wrongpassword
 
Jaribu kuizima kwa muda kama 15m then washa and try again.Ilo janga llwah nitokea kwenye asha 305 nilifanya km nilivyoelekeza nikafanikiwa.Try It
 
Jaribu kuizima kwa muda kama 15m then washa and try again.Ilo janga llwah nitokea kwenye asha 305 nilifanya km nilivyoelekeza nikafanikiwa.Try It

Bado majanga ndugu
 
Bonyeza 2 hzo alama mara moja mpaka kwenye rel ya mwisho kisha piga ok ukwa umetoa lainkwa ndan,au iache kwa mda
 
Nimeamua kununua tecno 605 nyingine,nataka nijiunge na intanet nipeni ufundi,maana nimewapigia tigo wanadai nitapata msg mpaka sasa kimya
 
sasa unataka kujiunga na net waka mchina wako umebumaaaaaaa??? kwelii haya majanga
 
N! Kwel! Umesahau pswd technoljia haiwez kuku cngngizia,
kwa lip kwanza ullonalo
 
Ndo madhara ya ku2mia Tochi uliambiwa Nokia zimeisha madukani, una2mia tekno afu unatangaza kwa wa2, shem on u
 
Ndo madhara ya ku2mia Tochi uliambiwa Nokia zimeisha madukani, una2mia tekno afu unatangaza kwa wa2, shem on u

Unapiga kelele tu bila kunifahamu,nina smartphone 2,ndo naingia nazo JF,blackberry via Nokia Lumia,sema hiyo tecno natumia pale simu zangu zingine zisipokua na chaji,shughuli zangu za kusafiri safiri,na smartphone hazikai na chaji zaidi 1day#TATIZO NECTA 2012#
"Vox popoli vox dei"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom