Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Disclaimer: We chose NOT to put this "dictionary" in alphabetical order because we believe it follows a logical order from basic to more advanced H@cking knowledge that will be easier for the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kufanya settings za internet kwenye simu yangu. Natumia tiGo na simu ni Sony Xperia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natumia sony ericson w960i nataka kuchange touch pleaz msaada wa kumpata fund
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Imegundulika kwamba LG Smart TV zinafanya upepelezi kwenye nyumba yako na kutuma habari LG makao makuu,,,,ukiweka USB yako habari zako zote zinatumwa kwenye LG server hata kama umeswitch off...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
galaxy note 3.. znasumbua sana.. znastaki sana.. solution n nn?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Shukrani kwako Mwl.RCT na mkuu middlebopper kwa ku ni PM . nimeelewa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu......... Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba msaada icon zangu zimebadilika na kudisplay media player kasoro icon ya my computer,recyclebin na icon ya file la movie os yangu ni window 7 naomba kuwasilisha.
0 Reactions
3 Replies
778 Views
Wapendwa Mimi ni kiongozi wa dini nahitaji kuanzisha website ya kanisa . je inagharimu kiasi gani kuifungua na je nifanyeje naomba mwenye uelewa anisaidie maelezo ya kutosha
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nime install jf app kwa simu lakin kinachonipa tabu siwez kutembelea comments walizo reply kwny moja ya comment yangu raia wa kunisaidia please
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Windows ya pc yangu inaniandikia hivyo na ime disable antivirus yangu naomba mnisaidie pliz
0 Reactions
3 Replies
998 Views
wana jf msaada wenu unahitajika.nahitaji TV Flat screen hata mtumba nina laki mbili
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Wana Jf ninatumia dish la futi 6 ila chanel teni,star tv na Tbc hazipo kabisa naombeni kufahamu jinsi ya kuzipata hizi chanel.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Hello ladies n gents, well animating is a hobby(i've said it before). After day's work i love to sit around the screen and make all sorts of animations. Today i've decided to share some with you...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini za saa hizi wakuu naombeni msaada jinsi ya kuactivate windows 7 professional-2009
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Google Translate 3.0 for Android - New UI, more language support for Handwriting and Camera Google has updated its Translate app for Android to version 3.0 that brings a complete new user...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Enable Folder and Icon Refresh This reg file Enables Folder and Icon Refresh. 1. Copy the following (everything in the box) into notepdad. QUOTE Windows Registry Editor Version 5.00...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Follow the link below to download and install the Copy software to start enjoying the 20 GB free online storage, I now have 50 GB online free storage from the same. https://copy.com?r=wWAMtC
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba kujua namna ya kuset voda internet kweye tab3 8"SM 311 android 4.2.2 niko kijijini sana wakuu. natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Kampuni ya kutengeneza Pikipiki aina ya Kawasaki imekuja na mapinduzi makubwa katika Pikipiki aina ya kawasaki ambazo zitakuwa zinakimbia sana na zitakuwa na matairi matatu zaidi fungua hii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…