Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Nimevunja kibubu changu nikajipatia ka Galaxy S4 mini.......mwenyewe roho kwatu.........
Sasa mahali ambapo sikaelewi......ni pale simu inapoingia basi kanaanza kutaja ile namba......yaani kanaongea.......au kama nimesave jina utasikia.......call from mtu chake.......call from mtu chake.......hakana siri mjue....... mimi hii inanikera sana na msiponielekeza natoaje hiyo sauti........nitakavunja wallah.......hakanipi nafasi......
Hayo yote yanatendeka kama ringing tone.......
Wakuu nawaheshimu sana kwa hili.......najua tatizo limeisha......

Last edited by a moderator: