wana jf msaada wenu unahitajika.nahitaji TV Flat screen hata mtumba nina laki mbili
Kuna jamaa yangu amenunua zanzibar sony Lcd inch 32 kwa laki 4,safi kabisa, kwa hiyo laki 2 waweza pata ya inch 22.
kwa kukshauri, kkoo kuna monitor za computer dell flat inch 22, kwa shilingi laki na 80, zina sehemu ya kuchomekea waya wa tv, so waweza nunua hyo ukaifanya kama tv. zunguka kkoo maduka ya computer utaziona
Mimi nahitaji friji used kubwa nina 350,000/=