Smart TV na Upepelezi Nyumbani Kwako

Smart TV na Upepelezi Nyumbani Kwako

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
909
Imegundulika kwamba LG Smart TV zinafanya upepelezi kwenye nyumba yako na kutuma habari LG makao makuu,,,,ukiweka USB yako habari zako zote zinatumwa kwenye LG server hata kama umeswitch off kitufe cha kukusanya habari (collection of viewing information off).Tv hizi hazitumi tu habari zilizo kwenye USB au External Devices,,bali hata kupiga picha nyumbani kwako na kurekodi mwenendo mzima wa maisha yako, ambapo unashauriwa kuwa kama una LG Smart TV chumbani kwako basi usiielekeze Kitandani kwako.Hali imekuwa ya hofu zaidi kwenye mahotel makubwa ambapo LG Smart TV zimefungwa,kwani hakuna siri tena ya kinachofanyika kwa kile kinachoitwa privacy invasion.LG Smart TV baada ya kuulizwa kuhusu madai ya TV zao kuingilia maisha binafsi ya watu,kupeleleza na kuiba habari na nyaraka wamesema kuwa hiyo ni sehema ya mkataba wao (Part of terms and conditions) na wao wanachofanya ni kutafiti ili kujua wateja wao wanapendelea vipindi gani vya TV (customers favorite TV programs).Kwa upande wa Samsung LED TVs na wao wana internal built in HD kamera ambayo inafatilia sura za watu na kutambua sauti zao.Samsung TV hawakuwahi kukanusha madai haya.

LG_Smart_TV_spying.jpg

Note that you watch the TV and the TV watches you too.

LG Smart TV spying, owner claims his USB filenames posted on LG servers
 
Watutengenezeee muvi za mambo yetu yaleeeee, utajikuta Wife Wako anashughulishwa vilivyo kwenye hotel ya jirani tu......
 
SEOUL, South Korea - LG Electronics Inc. said it is investigating a claim that some of its smart TVs send information on home viewing habits back to the company without consent.
mf.gif

a2t.img

Hiyo inawezekana kabisa sababu mimi binafsi ukiiba simu yangu au laptop yangu,utakuwa ni kama umeniifadhia kwa muda. Nitajua jina lako, ilipo, na hata ulipo kwa muda huo wewe uliyenayo!. Na wala hawa voda,tigo,airtel nk hawahusiki na mawasiliano yangu hayo!
 
kaka sio lg tu kila kitu kuanzia simu za android, windows phone hadi iphones.

usitrust makapitalist hawa na data zako wanazitumia kwenye security na pia wanayauzia makampuni ya matangazo
 
Juzijuzi mwizi aliiba smartphone ya bro wangu ambae amefunga mfumo kama wangu. Alichoka sababu tulimchukua ndani ya masaa kama unavyokamata kuku bandani kwako!. Ilipatikana simu na line yake!
 
Hili nililiona CCN kwa Richard Quest, aliongea na baadhi ya Wafanyabiashara wakubwa wa Marekani ambao walimwambia mara nyingi kwenye mazungumzo yao ya simu ya siri hutumia simu za kawaida kabisa kwa ajili ya usalama wa taarifa zao.
Na akaonyesha simu aina ya Nokia ya zamani (ile ya tochi) kama moja ya simu zinazotumiwa.

Ingawa haigarantii kwa 100% usalama wa mawasiliano lakini inasadia kiasi fulani.

Tuendelee kununua tu mpaka 'smart chupi', smart food' nk
 
UKWELI ULIOPO
.
hizi flat Tv za LG zinachokifanya ni ku spy vipindi na chanel ulizokuwa ukiangalia na zile data ambazo ume zi save kwenye USB lakin hakuna ukweli kwamba Tv inakuangalia wewe, kwa hyo usielekeze kitandani SIOKWELI na jamaa wamesema firmware mpya hawataweka vitu kama hvyo wata vi disable
 
Juzijuzi mwizi aliiba smartphone ya bro wangu ambae amefunga mfumo kama wangu. Alichoka sababu tulimchukua ndani ya masaa kama unavyokamata kuku bandani kwako!

mwaga maujuz mwana
 
mwaga maujuz mwana

Ni rahisi tu kama ABC mkuu!!kama unatumia smartphone ingia tu hata Google,tafuta kitu inaitwa mobile tracking system,au anti-theft,utapatiwa sites unazoweza kununua au hata ku download/install software hiyo bure kabisa,jaribu mkuu.
 
Kaka hongera sana mana huyo MWIZI alikuwa ni Zoba sana, yani mmemkamata kizembe hvyo, yan mwiz mjanja ana i flash fasta, simu kama hyo na hamu mpati siku hz hadi IMEI za simu zinabadilishwa Tu
 
Nashukuru kwa kufafanua.
Ni rahisi tu kama ABC mkuu!!kama unatumia smartphone ingia tu hata Google,tafuta kitu inaitwa mobile tracking system,au anti-theft,utapatiwa sites unazoweza kununua au hata ku download/install software hiyo bure kabisa,jaribu mkuu.
 
Mkuu ukifuatilia mambo ya upelelezi 90% ya wezi sio smart na ni lazima wataacha nyayo! Hapo ndipo mkamataji huwa ana take advantage!
QUOTE=middlebopper;7893392]Kaka hongera sana mana huyo MWIZI alikuwa ni Zoba sana, yani mmemkamata kizembe hvyo, yan mwiz mjanja ana i flash fasta, simu kama hyo na hamu mpati siku hz hadi IMEI za simu zinabadilishwa Tu[/QUOTE]
 
Kaka hongera sana mana huyo MWIZI alikuwa ni Zoba sana, yani mmemkamata kizembe hvyo, yan mwiz mjanja ana i flash fasta, simu kama hyo na hamu mpati siku hz hadi IMEI za simu zinabadilishwa Tu

Yaweza kuwa kweli mkuu,nilishawaza sana jinsi ambavyo hawa mobile flashing dealers wanavyochangia kwa kiwango kikubwa tatizo la wizi wa devices zetu,kwani ki ukweli ni wezi/vibaka wachache mno wenye uelewa wa kuflash simu au computer wenyewe tu bila msaada wa hao watu,labda itungwe sheria ya kuwabana ili mtu anayekuja kuflash kifaa aje na police statement itakayomtambulisha kama mmiliki halali wa kifaa hicho.
 
Hili nililiona CCN kwa Richard Quest, aliongea na baadhi ya Wafanyabiashara wakubwa wa Marekani ambao walimwambia mara nyingi kwenye mazungumzo yao ya simu ya siri hutumia simu za kawaida kabisa kwa ajili ya usalama wa taarifa zao.
Na akaonyesha simu aina ya Nokia ya zamani (ile ya tochi) kama moja ya simu zinazotumiwa.

Ingawa haigarantii kwa 100% usalama wa mawasiliano lakini inasadia kiasi fulani.

Tuendelee kununua tu mpaka 'smart chupi', smart food' nk
Na kuna hii graphene condoms siku si njingi inaingia sokoni ambayo imekuwa funded na bill gates View Source
Graphene is incredibly thin and light, and prevents all but the smallest molecules from passing through it (it's an excellent water filter, for example). Condoms, though an excellent barrier against unwanted contaminants, are neither thin nor light - which is why they reduce sensation, and why some people really don't like wearing them. The Bill and Melinda Gates Foundation, realizing the world would be a better place if more people liked wearing condoms, has thus decided to fund research into thin, pleasure-enhancing graphene condoms.
 
Yaweza kuwa kweli mkuu,nilishawaza sana jinsi ambavyo hawa mobile flashing dealers wanavyochangia kwa kiwango kikubwa tatizo la wizi wa devices zetu,kwani ki ukweli ni wezi/vibaka wachache mno wenye uelewa wa kuflash simu au computer wenyewe tu bila msaada wa hao watu,labda itungwe sheria ya kuwabana ili mtu anayekuja kuflash kifaa aje na police statement itakayomtambulisha kama mmiliki halali wa kifaa hicho.

Na ndivyo ilivyo, KIBAKA akiiba simu hawez kutumia Ataitumia mwenyewe, MAFUNDI ndiyo wateja wao wakubwa, ambapo cha kwanza huwa wana ziflash, na hata kama uta i Track na ukajua ilipo, bado Fundi ana uwezo wakukubishia na pia POLICE wetu bongo hawajawa developed ktk Technolojia kama hzo wanaweza wasikuelewe tu
 
Hili nililiona CCN kwa Richard Quest, aliongea na baadhi ya Wafanyabiashara wakubwa wa Marekani ambao walimwambia mara nyingi kwenye mazungumzo yao ya simu ya siri hutumia simu za kawaida kabisa kwa ajili ya usalama wa taarifa zao.
Na akaonyesha simu aina ya Nokia ya zamani (ile ya tochi) kama moja ya simu zinazotumiwa.

Ingawa haigarantii kwa 100% usalama wa mawasiliano lakini inasadia kiasi fulani.

Tuendelee kununua tu mpaka 'smart chupi', smart food' nk

KaKa na ndo mana WABUNGE wa GERMANY wote wame Stop kutumia iphone na wanatengenezewa encrypted smartphone ambazo itakuwa ni Vigumu kuzifanyia surveyllance kwa mana zitakuja na new AlGOLITHM coming soon, lakin NSA n Mzik mwingne
 
Last edited by a moderator:
Juzijuzi mwizi aliiba smartphone ya bro wangu ambae amefunga mfumo kama wangu. Alichoka sababu tulimchukua ndani ya masaa kama unavyokamata kuku bandani kwako!. Ilipatikana simu na line yake!

Bonge la promo dah
 
Back
Top Bottom