Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba mnijuze app ya kuresize miziki na pdf on line. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Wakubwa, nimeuziwa iphone 5S ambayo nashindwa kuitumia kwa sababu ina iCloud lock, na aliyeniuzia sina contact nae tena. Nawezaje kuiondoa? Kama unaweza tafadhali tuwasiliane kwa pm, niko Dar.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Not a mosquito. It's an insect spy drone for urban areas, already in production, funded by the US Government. It can be remotely controlled and is equipped with a camera and a microphone. It can...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnisadie ninashindwa kutumia laini yangu ya airtel coz mtu akinipigia anapata ujumbe "call rejected". Nimejaribu kutumia #35 *000# naambiwa request can not be completed.Naombeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wa janvi habari za kujishughulisha, ninaomba kwa anayefaham mahali nitaweza kununua DELL VOSTRO 270 Nitashukuru sana, nahitaji computer hiyo kwa ajili ya kazi zangu za ofisi coz nimeona ina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnisadie ninashindwa kutumia laini yangu ya airtel coz mtu akinipigia anapata ujumbe "call rejected". Nimejaribu kutumia #35 *000# naambiwa request can not be completed.Naombeni...
1 Reactions
0 Replies
901 Views
Habari zenu. Naomba kujua jinsi ya kuUnlock screen ya simu tajwa hapo juu. NB; Jamaa amesahau Email aliyoitumia kwenye simu.. .
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Characters
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Halo wana Jf, Naombeni link ambazo naweza ku-download Full HD Shrek Movies & FF6 Thanks Wajameni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ndugu zangu kuna kitabu nimedownload na kukisave kwenye PC yangu,lakini nikitaka kuprint nipate hardcopy ile print icon haiwi active kuniruhusu niprint,kitabu kiko kwenye PDF (secured) .Mwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
oy wajameni, wale wa kubundika kijanja ndio mwisho wetu... Wamefuta bhana ile offer yao. Yaani kushney kabisa. Nimeiangalia ile msg yao mara mbili-mbili ila naona hawajakosea. Wameamua kuifutilia...
0 Reactions
75 Replies
9K Views
1: Transcend Hard Disc 1TB for 130000 Tsh, and 500GB for 100000 2: D-link wire for 200000 Tsh only. Call +255763731245.
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Habari wa JF?? Nina simu yangu ya HTC wildfire S ipo Poa kiukweli but tatizo ni moja tu.....LOW INTERNAL MEMORY I hope ntapata maujanja ya jinc ya kulitatua hili tatizo... Nategemea ujuz...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu! nina samsung s4 galaxy,by now haidownload applications toka playstore,but siku za mwanzo ilikua very fast lakini kwa sasa ni tatizo,so inaniwia vigumu ku apdate application yeyote au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bill Gates Will Be the Next Microsoft CEO, Sort Of . But 18 hours ago bill gates sayed that . Bill Gates Say AGAIN That He Won't Come Back As Microsoft's CEO . Watch Bill Gates On Microsoft...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina Samsung window SGH-i917 window phone 7 AT&t h haiwez kudownload whatups na application nyingine. Ukitaka hata kuweka hata fedha application haziwwi active
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Wakuu nauliza kama kuna namna naweza save Profile Picture ya mtu ya Whatsapp kwenye simu yangu maana naona hiyo option siioni au kama kuna prog yoyote inabidi nidownload tafadhari mnijuze.NB...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wakuu wa jukwaa hili! Kwa wanaofahamu ningependa kujulishwa visumbuzi vya azam ni model gani na je vina hdmi port? Nataka nijue pia kama naweza tumia hicho king'amuzi na lcd monitor yangu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
:grouphug:found somewhere...labda mtu mwingine anaweza akapenda pia :typing: nilikuwa na tatitzo la ku-activate iphone yangu but nilipata solution baada ya kucheki hapa ....you welcome...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii, ni mategemeo yangu munaendelea vyema, tupo kwenye mchakato wa kukamilisha ufunguzi wa ofisi zetu za branch ya dar, hivyo tunahitaji vijana wenye nguvu, ari, moyo na uwezo wa kazi, na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…