Habari zenu.
Naomba kujua jinsi ya kuUnlock screen ya simu tajwa hapo juu.
NB;
Jamaa amesahau Email aliyoitumia kwenye simu..
.
Habari zenu.
Naomba kujua jinsi ya kuUnlock screen ya simu tajwa hapo juu.
NB;
Jamaa amesahau Email aliyoitumia kwenye simu..
.
bonyeza batan ya kuongezea saut bila kuachia kisha bonyeza batan ya kuwashia utaona maneno yamedispaly hapo tumia batan ya kuongezea saut na kushushia ila kuteremka na kupanda kwenye list ya maneno yale chagua factory reset kisha bonyeza batan ya kiwashia mara moja. Utaona inatoa maneno mengi kisha kisha chagua tena reboot kisha bonyeza batan ya kuwashia itakua tayar. samahan kama melezo magumu kueleweka.
Ngoja nifanye hivyo mkuu.
Asante sana.
njunwa wamavoko.
We toa ushauri.. Kuhusu uhalali wa kumiliki hiyo simu hayakuhusu...
Hakuna kanuni ya kusahau.kitu.
nimeshatoa ushauri na tahadhari maana wengi wameumbuka kwa simu zisizo halali