Wakuu nauliza kama kuna namna naweza save Profile Picture ya mtu ya Whatsapp kwenye simu yangu maana naona hiyo option siioni au kama kuna prog yoyote inabidi nidownload tafadhari mnijuze.NB: Natumia TECNO S3.
fanya hivi...
1. fanya kuiangalia iyo profile picture (iangalizie kwenye whatsapp)
2. nenda kwenye file manager ya simu yako > sd card > whatsapp > profile pictures utaikuta
Angaliye internal memory most file za whatsapp zinakuwa katika internal memory
internal memory zinakaa file zinazofanya whatsapp irun. ila file zingine kama cache. backup. downloads. na profile pictures uwa zinakwaa kwenye folder limeandikwa sdcard > whatsapp
Sijakataa kama hawezi kukaa external memory mara nyingi inakuwa internal memory hasa simu kubwa
Na mimi naomba msaada hapa hapa, Nataka kujua namna ya kuificha notification inapoingia message