Msaada kuhusu visumbuzi vya azam

Msaada kuhusu visumbuzi vya azam

reg edit

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
403
Reaction score
504
Habari wakuu wa jukwaa hili!
Kwa wanaofahamu ningependa kujulishwa visumbuzi vya azam ni model gani na je vina hdmi port?
Nataka nijue pia kama naweza tumia hicho king'amuzi na lcd monitor yangu ??(yani hiyo lcd monitor iwe ndio kama tv screen)
Natanguliza shukrani!!
 
Yes,kina HDMI port,cable za kawaida,usb port.
kiko vizur ila bado chanel Kama ITV,star Tv na EATV, kina record na Ni portable.Swali?
 
Ahsante mkuu kwa jibu zuri, so kwa mantiki hiyo naweza kuunganisha na computer lcd monitor moja kwa moja bila kupitia kwenye computer yenyewe, yani bila kununua tv card na vitu kama hivyo?
 
Yes,kina HDMI port,cable za kawaida,usb port.
kiko vizur ila bado chanel Kama ITV,star Tv na EATV, kina record na Ni portable.Swali?
nasikia itv na startv zinapatikana kwa kuongeza lnb nyingine
 
Ahsante mkuu kwa jibu zuri, so kwa mantiki hiyo naweza kuunganisha na computer lcd monitor moja kwa moja bila kupitia kwenye computer yenyewe, yani bila kununua tv card na vitu kama hivyo?

monita yako lazima iwe na hdmi au rca. Dekoda ya azam inatumia rca na hdmi. Hakuna vga poti
 
Du! Mkuu sory ni kweli kwamba nikiongeza LNB nitapata hizo chanel kama star tv, itv eatv? Na LNB zipi kama KU au?
 
Tupeane hayo maujanja ya kuongeza LNB tafadhari... nimehamia azam toka zuku ....raha mustarehe!! ameni
 
Du! Mkuu sory ni kweli kwamba nikiongeza LNB nitapata hizo chanel kama star tv, itv eatv? Na LNB zipi kama KU au?
ni KU utapata itv na startv bure pia mozabique zinapatikana free for more info tembelea facebook page yao azam
 
nyie watu hebu achen kupotoshana
,
Itv na StarTv wanapatkana huko tena tangu lini?

makubwa haya jaman
 
Back
Top Bottom