Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani mimi sijawahi ku'update Window kwenye pc,, nataka ku'update kwa kutamia product keys je files nilizo'save kwenye hii pc zitafutika? na kama ndio je kuna njia ya ku'update bila kufata my...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Hii inaweza kuwa habari mbaya zaidi kuwahi kusikika masikioni mwa wapenzi wa movies naVideo games wanaotegemea mitandao ya torrent kupakua mafile bure kwenye internet. Ikiwa ni mwezi mmoja tu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana. Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card? wakuu kwa anafaham kwa hapa nda naomba...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
jamani naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kupata free biblia takatifu swahili version for iOS.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJamii. Naomba ushauri kwa wale wazoefu wa magari. Ni hivi, Je ni Engine gani ambazo zipo nafuu kidogo pia zinazodumu nitazoweza kufunga kwenye Hiace?
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Jamani habari...naomba nipewe elimu kuhusu king'amuzi hiki..nimeona tangazo lao la promotion.nikashawishika kununua naomba kujuzwa na wataalam wa mambo je nikizuri sana au huduma na chaneli zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Magari kumi ya bei ghali hapa duniani, mwaka 2014 01. Lamborghini Veneno Roadster - $4.5 million 02. Bugatti Veyron 16.4 Grand Sport Vitesse - $2.5 million 03. Koenigsegg Agera S - $1.5...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
SCREEN YANGU YA COMPUTER NILIIGONGA BAHATI MBAYA KWENYE MLANGO WA GALI. INATOA KAMA WINO KWA NDANI.KAMA IONEKANAVYO KWENYE PICHA HAPO. JE KUA UWEZEKANO WA KUPATA SCREEN MPYA AU KUTENGENEZA?NA...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Hello forum members. After making recordings on my str 4922 onto a flshdisk, i cannot play them on my computer using vlc. However when I record using my Eurobox 9700 Gold+, they play just fine...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Habar wana jamvi,ninasimu ya huawei y300 ambayo ni liletoleo la kwanza kabisa! Sasa inaonekana ni kwa ajili ya tigo tu! Kwn nkiweka mtandao mwingne inanidai keys! Kama kuna m2 mwenye hzo key au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu msaada samsung gallaxy tab gt p6800 imepasuka kioo ila touchi nzima naweza pata wapi huduma ya kubadili kioo na nibei gani?natanguliza shukrani wakuu.
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Mwanza kuna uhaba mkubwa wa cd za playstation 3. na kudowngrade ps3 sio ngumu ila ni risky sana... nilikuwa naomba contact ya mtu yeyote anayeweza kudowngrade ps3 (MWANZA) na kumlipa.. ila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye kuzielewa vizuri hizi simu aina M-Horse zikoje katika ubora wake kwa ujumla kimatumizi ..na ni tatizo gani kubwa labda liko na hizi simu ambalo kama mtumiaji unahitaji kuwa makini...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Simu za kisasa zinakuja na functionality nyingi kiasi cha kwamba kuna baadhi ya vitu vitatoweka kabisa huko tuendapo. Kwa mfano Redio, Tochi, Calculator, Kamera, cd player, marafiki wa ukweli...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa anayejua jinsi ya kujua salio la vifurushi vya internet kwenye Airtel na Vodacom aniwekee hapa,asanteni
0 Reactions
0 Replies
22K Views
kwa wale wenzangu wanao tumia qsat23 vipi zipo hewani kwa sasa? mwenzenu channel zote za d*tv hazionekani natumia account ya Tv1,mambo yaliharibika tangia siku jamaa walipo update na kuongeza ITV...
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Heshima iwe kwenu wana wa jf wenzangu naombeni msaada mwenye wimbo huu anisaidie siujui jina lake ila kwenye wimbo huo kuna maneno yanayoimbwa wanasema supu umetia nazi supu haitiwi nazi kiungo...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Kuna mtu yeyote mwenye ujuzi na hii mobile App ya inauzwa.com ya android? Ni hatua nzuri jamaa wamefanya ila app yao inansumbua kidogo kwenye techno yangu nkitaka kuweka tangazo, sijajua kama ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za saa hiz wapendwa mimi nina modem aina ya HUAWEI E303h-1 Hi-link ya Airtel Tanzania nina tumia PC-DEll RAM-760MB WINDOW-XP PROFFESSIONAL kila napoipachika kwenye pc yangu inashinwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…