Hii mobile App ya inauzwa kwenye android?

JIKO

Member
Apr 4, 2013
5
0
Kuna mtu yeyote mwenye ujuzi na hii mobile App ya inauzwa.com ya android? Ni hatua nzuri jamaa wamefanya ila app yao inansumbua kidogo kwenye techno yangu nkitaka kuweka tangazo, sijajua kama ni simu au ni app yenyewe ndo inasumbua.

Kwa mlio ijaribu nipeni feedback maana me ni mdau mkubwa wa hii site ikinibidi ntabadilisha simu, niji upgrade kidogo.
 
Back
Top Bottom