kwa wale wenzangu wanao tumia qsat23 vipi zipo hewani kwa sasa? mwenzenu channel zote za d*tv hazionekani natumia account ya Tv1,mambo yaliharibika tangia siku jamaa walipo update na kuongeza ITV. kama kuna mtu analijua hili naomba anisaidie ufumbuzi wake.