Sim card ndogo inapatikana bongo ?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,247
Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana.
Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card?

wakuu kwa anafaham kwa hapa nda naomba mnielekeze

micro_sim.jpg
 
Wanakata au unaweza kukata mwenyewe, Google. Mimi nshakata mbili sio ngumu sana.
 
Zipo nyingi voda au airtel wanauza yembelea maduka yao utapata huduma by the way mimi ninayo machine naweza kukusaidia kukata kama upo maeneo ya dar
 
Tigo wanazo nimeona kwa macho yangu ila mitandao mingine sijui.
 
Wanakata au unaweza kukata mwenyewe, Google. Mimi nshakata mbili sio ngumu sana.

nilikata ya kwanza ikagoma,nikakata nyingine ikagoma,but sikugoole jinsi ya kukata,ngoja nicheki
 
Zipo nyingi voda au airtel wanauza yembelea maduka yao utapata huduma by the way mimi ninayo machine naweza kukusaidia kukata kama upo maeneo ya dar
thanks mkuu nakutafuta
 
Mkuu wana kata ni laini ya kawaida tuu hata hiyo yako unayotumia sasa unaweza ukakata tuu .nenda kwenye ofisi za tigo au voda wanakata
 
nilishakata mbili nikaharibu hebu nitafute hao watu

Kwa Dar es Salaam, wanapatikana karibu sehemu zote za jiji. Unachotakiwa ni kuuliza tu, hasa sehemu zenye maduka. Mimi za kwangu nilikata Tegeta Kibaoni karibu na Kibo Complex.
 
Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana.
Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card?

wakuu kwa anafaham kwa hapa nda naomba mnielekeze

micro_sim.jpg

Acha mbwembwe bwana mdogo,,, unataka kuniambia wewe hujui kama watu wanatumia simu za kisasa tanzania!!!??? , galaxys zote s2, s4, s5, na iphone 4 and zote za juu zinatumia sim card ndogo... hata mchina,, so acha zako,,,, nenda hata kwa mafundi simu wa mtaani kwenu wanakata hizi hata kwa kisu
 
habari Ngdu Samahan Kama Ntakua Nimetoka Nje Ya Mada Hii..Nlkua Na Hitaj Msaada Kuna Simu Nliuziwa HTC window 8s ila ilkua Na Itilafu Kdgo Maana kuna Kifuniko Kinakuwa Nyuma Chini Kabisa Ya Simu Kilitoka Sasa Na Yenyewe Inatumia Mini Sim Card Nlijaribu Kukata kama Mara2 Lakini Ikakataa Kusoma..Nkamuuliza Mtu Akasema Kuwa Tatizo Ni Mpka Kuwepo Na Hicho Kifuniko coz Ndo Kinacho Support Netwok(sijajua kama Ni Kweli Nikifuniko Au sikukata Laini vizur Naomben Mnisaidie Nijue Tatizo Nn
 
Simu yangu inatumia sim card ndogo lakini kwa hapa bongo nimeshindwa kujua kama inauzwa/inapatikana.
Au kuna mtaalamu yoyote anayejua kukata sim card?

Ukienda kwenye kampuni husika watakukatia bure kama unayo hiyo kubwa, kama utataka kununua unawaambia watakuuzia sim card inayoendana na simu yako. Yangu ya Airtel nilikuwa nimeikata nikawa naitumia kwenye iPhone 5, kwa kweli mtandao ulikuwa haujatulia pamoja na kuja kununua toleo Jipya la iPhone. ilibidi nibadilishe sim card nikanunua sim card ndogo kwa ajili ya iPhone kwa Tshs. 2,000, baada ya hapo tatizo limekwisha.
 
Attachments

  • 1418366570256.jpg
    1418366570256.jpg
    39.1 KB · Views: 96
Kuna baadhi ya mitandao ukiikata haikubali kusoma hadi ununue ya mtandao huo original
 
habari Ngdu Samahan Kama Ntakua Nimetoka Nje Ya Mada Hii..Nlkua Na Hitaj Msaada Kuna Simu Nliuziwa HTC window 8s ila ilkua Na Itilafu Kdgo Maana kuna Kifuniko Kinakuwa Nyuma Chini Kabisa Ya Simu Kilitoka Sasa Na Yenyewe Inatumia Mini Sim Card Nlijaribu Kukata kama Mara2 Lakini Ikakataa Kusoma..Nkamuuliza Mtu Akasema Kuwa Tatizo Ni Mpka Kuwepo Na Hicho Kifuniko coz Ndo Kinacho Support Netwok(sijajua kama Ni Kweli Nikifuniko Au sikukata Laini vizur Naomben Mnisaidie Nijue Tatizo Nn
mkuu we unazungumzia holder ya kuwekea sim card?kuna simu ambazo zinakuwa na holder,sim card unaiweka kwanza kwenye hiyo holder halafu ndo unaingiza.
 
Back
Top Bottom