Msaada wenu jamani

Msaada wenu jamani

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,556
Mwenye kuzielewa vizuri hizi simu aina M-Horse zikoje katika ubora wake kwa ujumla kimatumizi ..na ni tatizo gani kubwa labda liko na hizi simu ambalo kama mtumiaji unahitaji kuwa makini nalo,Akhsante sana wadau!
 
Back
Top Bottom