Operation hiyo inaitwa Music Tagging... Kuna music tagging softwares za Windows kibao ila mimi nitakushauri utumie hizi mbili.
1.dB poweramp (Limited time Version)
2.Mp3tag (Free Version)
Mp3tag ingawa imepewa jina mp3 lakini ina uwezo mkubwa katika kuwrite music information na inasupport file extension almost zote za music files kama mp3, m4a, wav, n.k.
Lakini dBpoweramp ndiyo mwisho wa maelezo, maana inasupport music files zote mpaka .flac kama unapenda kusikiliza nyimbo zenye quality. Lakini kama wewe ni msikilizaji wa kawaida wa .mp3 files nakushauri utumie mp3tag.
Hizi ni very dimple kutumia. Download, kama utakwama. Tutasaidiana.
Mp3tag >> download.mp3tag.de/mp3tagv266setup.exe