Nawezaje kuongeza idadi ya Likes kwenye Page ya Facebook ?

Nawezaje kuongeza idadi ya Likes kwenye Page ya Facebook ?

tembizo

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
17
Reaction score
0
jamani naomba munisaidie njia za kuongeza fb page likes bcz naona watu watu hawaongezeki kabsa
 
Kwa Hii Mi Naona Either uandike au uweke Mambo Ya Mapenzi Au Picha Za Mapenzi (Ni Kwa Bongo Hii)
Au Uwe Mwanasiasa unaweka au kukemea issue fulani iliyotokea nchini labda.

Lakini ukiweka mambo ya msingi au biashara yako labda uwe na designer mzuri wa kupost vitu.
Ni hayo tu.
 
jamani naomba munisaidie njia za kuongeza fb page likes bcz naona watu watu hawaongezeki kabsa

Nenda sehemu ya kupromote page, kisha weka bajeti yako kama ni 5$, 10$, 15$ au 20$ kwa siku...
Kisha wenyewe facebook watakutangazia... Ila kama huna hela hiyo nisawa na country to be ruled by Chadema.
 
jamani naomba munisaidie njia za kuongeza fb page likes bcz naona watu watu hawaongezeki kabsa

62f24143ad.jpg
 
Back
Top Bottom