Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanaJF leo nimeamua kuanzisha mada inayohusu the whole industry of logo designs hivyo basi unaruhusiwa kuchangia chochote unachojua kuhusu logos. logo is the visual presentation of of an...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, natafuta keyboard ya microsoft surface pro yangu hap Tz ntapta wapi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu, naomba msaada kama title hapo juu inavyojieleza
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hey, For a week now I am husttling with my f$$$ckng iphone from Apple... Can you help me how to unlock to get network service like tigo, airtel and vodacom Unajuwa hawa watu wanaziba...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Habari za jioni wakuu! Naomba kujuzwa android app ambayo naweza kucheki video (kama ilivyo kwa tune in radio ambayo unasikiliza redio stations nyingi) nahitaji kama ntapata app yenye na sports...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale wanaopenda ulimwengu wa open source, ubuntu wametoa OS version ya simu. Ila kwa sasa iko compatible na Nexus devices (4, 7 2013 WiFi na 10) Kama kutakuwa na mtu amejaribu ku install...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia line ya vodacom,naomba kujua namna yakumblock mtu! Asiweze kunibip wala kunitumia message. Mwenye kujua anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari ndugu wana JF naombeni msaada wenu mi nimenunua simu mpya aina ya samsung i8260 sasa tatizo inakataa kuingiza app kutoka kwenye playstore yaani nikitataka kudownload app inakaaa hata masaa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
watashughulikia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natanguliza shukurani kwenu wana jukwaa. Nawaombeni msaada simu ninayotumia ni nokia n73 inagoma ku INSTALL WHATSAPP. Msaada pls.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Amazing thing but true , Notepad knew about 9/11/2001 ! The flight number which hit the WTC in New York was Q33N ! See it yourself :1. Open Notepad 2. Type : Q33N3. Now, go to Format menu 4...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali ya kwenda na wakati nimeweka pc katika Library yangu ya nyumbani nahitaji kuchukua tahadhari kuzuia matumizi ya hatari maana nina vijana wadadisi sana. Nitashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Tafadhari mwenye kufahamu namna ya kuweka hii "text watermark" kwenye certificate/cheti, nimejaribu ku google nimepata ila kuna sehemu inanishinda kwenye TIP na namba 7, natanguliza shukrani za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa wale wanaopendwa kutumia CMS kwa clients wao nawashauri muwe makini katika ku download Themes/Templates na Modules/Plugins za bure. Hii inawahusu sana kwa wale wasiopenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Naombeni ushauri wa kitaalamu kwenye mada tajwa. Nataka kufunga system mbili zenye kujitegemea za solar nyumbani kwangu. 1. System yenye uwezo wa kuwasha taa 20 za wats 9...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nina data muhimu kwenye simu yangu ,video ,picha na hata no muhimu,nahitaji mahala salama zaidi kuhifadhi kisudi kifaa kikizingua niendelee kuziaccess,kuna mtu kaniambia niifadhi google,je kama ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys in technology firm. for long time I have been using and prefered Hostigator for website hosting reseller but I have found that they are so expensive and storage limit of 200 GB sold at much...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hapa nna galaxy s4 i9500 inaonesha imei null na kwenye baseband inaandika unknown baseband. nimejaribu njia kadhaa lakini mpaka sasa nimechemka, imekaa kaa tu kama music player maana network...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
How To Shutdown A Computer By Using Cell Phone The Requirements or Tools for this Tutorial 1. One cell phone with GPRS enabled. 2. One Email ID 3. Microsoft Outlook on the PC to be put to...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jambo wakuu, Nina email ya yahoo ya mda mrefu tu na nilikua naweza kuifungua kwenye laptop, simu na tablet. Imeanza majanga eti kwenye simu na tablet haifunguki. Nikijaribu wananambia iko blocked...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…