Website ya Afrocentuary imekuwa Hacked

Website ya Afrocentuary imekuwa Hacked

Bila shaka hii itakuwa ni kampuni iliyotengeneza hii website, ni muda mrefu sasa walivamiwa na hadi sasa naona jamaa wamejiweka hapa


click hapa utaona hackers

nanyinyi wenye viofisi vyenu unachezea watu kuweni makini

Nilichokiona hapasiku ya kwanza ilikuwa wimbo wa taifa wa nchi sikujua ni nchi gani, na waaliandika kuwa wanalipiza kisasi. sikujua kilichokuwa kinaendelea

ushawahi kufungua website unakuta kitu kama movie hivi

leo inaonekana na maneno mengine

naona hizi picha
 

Attachments

  • meca.PNG
    meca.PNG
    3.7 KB · Views: 143
  • muslm.PNG
    muslm.PNG
    18.7 KB · Views: 138
Duh hii noma, watu wa urusi ndio wana haka kamchezo. Hiyo website ilikuwa inatumia Drupal CMS with default theme itakuwa imepigwa hacking kwenye modules

Ilikuwa online hadi tarehe 22 December 2014 ndio wazee wakaipiga bomu. Kama unataka kuwapa hawa watu taarifa detail zao ziko hapo chini.

Mobile: (+255) 769 000 039
Email: marketing@afrocentury.co.tz
P.O.BOX 63265, Dar es salaam
 
kama hadi leo hawajui kua site yao iko down inaonyesha kabisa jinsi gani hawana watu wa kuitazama wala wao wenyewe hawaitazami
 
kama hadi leo hawajui kua site yao iko down inaonyesha kabisa jinsi gani hawana watu wa kuitazama wala wao wenyewe hawaitazami

Kweli kabisa Dreson4, hii pia inaonyesha ni jinsi gani makampuni makubwa hayajui thamani ya kuwa na website.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom