Kuwa makini unapo download free Themes/Templates na Modules/Plugins for WordPress, Joomla, ...

Kuwa makini unapo download free Themes/Templates na Modules/Plugins for WordPress, Joomla, ...

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Habari wakuu, kwa wale wanaopendwa kutumia CMS kwa clients wao nawashauri muwe makini katika ku download Themes/Templates na Modules/Plugins za bure.

Hii inawahusu sana kwa wale wasiopenda kutumia official website mfano ya wordpress, joomla, drupal na nyingine nyingi ku download hivyo vitu. Kuna programmers out there wana code plugins ambazo haziko kwenye official website kisha ndani ya code wanaongezea code ya ku access vitu flani kwenye website yako.

Pia uwe up-to-date na security information kama hautakuwa mvivu wa kusoma newsletters from the CMS websites.

Huu ni mfano mmoja, Hawa watu wametumia Drupal CMS with default theme na modules kutoka unofficial websites.
Ilikuwa inafanya kazi hadi tarehe 22 December 2014 baada ya hapo ikapatwa na janga hili jionee mwenyewe
http://www.afrocentury.co.tz

Mobile: (+255) 769 000 039
Email: marketing@afrocentury.co.tz
P.O.BOX 63265, Dar es salaam
 
MECA ni kikundi kinachojumuisha watoto wengi ambao wako idle, wanawacopy anonGhost nakuspread name of allah, matokeo yake wana target domain za nnchi zisizohusika na ugomvi wao na wa india, marekani, israel pamoja na serikali za nnchi zao wenyewe..

Wana safari fupi sana, people are keep watching what kind of shit they do. Anonghost ndio wasababishi wakubwa wakuibuka kwa vikundi kama hivi, ila wao Anon wana target domain za specific country, ila hawa MECA wakiona tu site ipo vurnelable on google dorks basi wanaivaa..

Kama walivyoiona hii afro Watakua unmasked baadhi yao muda sio mrefu..

Hii site wameipiga chini muda sio mrefu .... Hacked By Middle East Cyber Army

hii apa ya Uingereza Hacked By Middle East Cyber Army

kuna hii apa nyingine ya urusi Hacked By Middle East Cyber Army

Mkuu unaweza kuona weakness sio tu za developers wa bongo ata mbele nao.
 
MECA ni kikundi kinachojumuisha watoto wengi ambao wako idle, wanawacopy anonGhost nakuspread name of allah, matokeo yake wana target domain za nnchi zisizohusika na ugomvi wao na wa india, marekani, israel pamoja na serikali za nnchi zao wenyewe..

Wana safari fupi sana, people are keep watching what kind of shit they do.
Anonghost ndio wasababishi wakubwa wakuibuka kwa vikundi kama hivi, ila wao Anon wana target domain za specific country, ila hawa MECA wakiona tu site ipo vurnelable on google dorks basi wanaivaa..
Kama walivyoiona hii afro
Watakua unmasked baadhi yao muda sio mrefu..

Hii site wameipiga chini muda sio mrefu .... Hacked By Middle East Cyber Army
hii apa ya Uingereza Hacked By Middle East Cyber Army
kuna hii apa nyingine ya urusi Hacked By Middle East Cyber Army

Mkuu unaweza kuona weakness sio tu za developers wa bongo ata mbele nao.

Ni kweli mkuu, sikuwa nakandamiza kwa wabongo huwa inatokea kwa kila mtu. Halafu kuhusu google dorks ni ukweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom