Naomba msaada wa Ku-Install whatsapp kwenye Nokia N73

Naomba msaada wa Ku-Install whatsapp kwenye Nokia N73

Mkwaja

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
35
Reaction score
3
Natanguliza shukurani kwenu wana jukwaa. Nawaombeni msaada simu ninayotumia ni nokia n73 inagoma ku INSTALL WHATSAPP.

Msaada pls.
 
inatumia os gani je umejaribu kuinstal kwa kusearch Google au kwenye official website yao?
 
Acheni ubahili, n73 ni ya nyuma sana haiwezi kukaa
 
Jipange utafute smartphone kama shida yako ni whatsapp, hiyo n73 ya 2006, enzi hizo unajua hata apple walikua hawajatoa iPhone ya kwanza... kwa kifupi haisupport whatsapp
 
Jipange utafute smartphone kama shida yako ni whatsapp, hiyo n73 ya 2006, enzi hizo unajua hata apple walikua hawajatoa iPhone ya kwanza... kwa kifupi haisupport whatsapp

Nimekupata sina swali tena shukran
 
Back
Top Bottom