Nina data muhimu kwenye simu yangu ,video ,picha na hata no muhimu,nahitaji mahala salama zaidi kuhifadhi kisudi kifaa kikizingua niendelee kuziaccess,kuna mtu kaniambia niifadhi google,je kama ni google unaifAdhije

tumia cloud storage yaan data zako zinakuwa store online , kuna service providers wa hizo ikiwemo google drive, dropbox na one drive y microsoft ... kama una g mail just goodle google drive utaona , au tumia you tube kujifunzia
kama ni data muhimu sana za kiofisi hivi au information ambazo hutaki mtu azijue microsoft ndio anajua kuhandle mambo haya download onedrive kwenye simu yako then tumia email ya hotmail/live kusign in kisha upload mafile yako.
kama unahitaji storage tu unaweza wacheki google drive, dropbox na wengineo.
ila uwe mwangalifu na google few clicks picha zako zote zinahamia google plus
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.