UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 509
hapa nna galaxy s4 i9500 inaonesha imei null na kwenye baseband inaandika unknown baseband. nimejaribu njia kadhaa lakini mpaka sasa nimechemka, imekaa kaa tu kama music player maana network haishiki. Mtu aliyekumbana na tatizo kama hili akatatua au mtaalamu yoyote anipige tafu please...