Nmekuwa nikilalamika kwa jambo hili mua mrefu sana nikidhani pengine watajirekebisha. jana nimenunua kifurushi nikajiunga UNI255 NIKAPATA 1GB internet Bundle.usiku nikaingia kidogo kusurf jamii...
Habarini wakuu,
Ebana nina tatizo kwenye simu yangu tajwa hapo juu na ninahitaji screen ya HTC one VX, je ninaweza kuipata wapi na kwa bei gani?
msaada wenu wakuu........
Nina nokia lumia kwa bahati mbaya nimesahau passwards za microsoft account na kila ninapotaka ku update application inataka niweke passward. Tatizo ni kuwa wakat naanza kutumia hii sim sikuwa na...
Habari gani wadau?
Kwa sasa hivi nahitaji sana kuweza kuangalia channels za Kitanzania online, haswa vipindi vya taarifa za habari. Ila nimejaribu sana websites mbalimbali bila mafanikio. Siku za...
Niliwahi ku root huawei y330 na iRoot ikakubali... Nikacheki katka CPU-Z ikaonyesha root access is "yes". Baada ya dakika kadhaa inasema device is noot rooted. Ipi njia sahihi ya ku root huawei...
Nimesevu majina kwenye simu lakini kwenye whatsapp hayatoki zinatoka namba tuu, naukitaka kumuadd mtu ili tuchat ukiangalia kwenye add kule hakuna hata Jina moja nawatu nnao wengi tu kwenye...
Habari wana JF,
Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs. Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT.
Nimefungua ofisi Sinza...
Habari zenu wana JF
nimenunua kifaa cha kudaka mtandao wa internet ya Wi-Fi, je kifaa hiki ni universal{mitandao yote} au ni mtanao mmoja tu?
je ili niweze kutuia nahiaji kufanya nini? niliweka...
MSAADA WADAU!
Nipo najifunza taaluma hii ya madishi ila kuna
maelezo siyaelewi naomba kueleweshwa!
1) Hili swala la ueleke lina maana gan? Utajuaje
kama uelekeo huu ni wa Azam, DSTV au...
Hi members,
Nina simu zangu nilikuwa natumia marekani kwa lainj za huko. Ni LG Optium L70 na Alcatel, zote hazizitambui laini za mitandao nchini, naomba msaada kwa anayejua kuzifungua tafadari.
jamani mimi nikiscan simu( ni adroid) hii program ya com.android.wifi.sta huwa inakuwa detected as a Trojan,, naombeni mnieleweshe kwa nini inakuwa hivyo ukizingatia hiyo program huwa inakuwa...
An artist's impression showing Jupiter, and the moon Ganymede with its auroral lights
Continue reading the main story
Related Stories
Europe plans space science future
Jupiter moon spouts water...
Naomba msaada guruz katika hili jukwaa
Nime root simu ya Samsung Grand prime kupitia Odin 3.07
Sasa Game nikiwasha tu lazima ipitie recovery mode afu nikichagua "Reboot now" ndo inawaka kawaida...
habarini za jion wakuu wote ninaomba kujua jinsi ya kufanya matangazo ya kwenye website yawe yana movement kwenye simu yangu android 4.1.4 kama ilivo kwenye computer??
Naangalia kipindi kwenye channel ya CBS R kinachoonyesha kesi mbalimbali za watu na wataalu wanavyotumia utaalamu wao kukusanya ushahidi kwa kesi ngumu za mauaji.
Wenzetu wako mbali sana katika...
Habari zenu waungwana! hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha jarida format kama yale ya BANG!, ONSPOT, VIBE, KITANGOMA . Ila idea yangu ni unique kidogo na nimefanya research nimeona kuna tija...
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kiufundi, nina laptop ya dell, kila niki connect adapter kwenye socket alafu nikichomeka kwenye laptop basi taa ya kwenye adapter inazima na umeme unakua...