Laptop imegoma kuwaka

Laptop imegoma kuwaka

dendizzo

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
966
Reaction score
1,345
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kiufundi, nina laptop ya dell, kila niki connect adapter kwenye socket alafu nikichomeka kwenye laptop basi taa ya kwenye adapter inazima na umeme unakua hauingii kwenye PC.

Ningependa kujua hili tatizo linatokana na nini.
 
Machine ndio INA short je ni dell model gan,or nichek 0784234*** expert computer technician.
 
Machine ndio INA short je ni dell model gan,or nichek 0784234*** expert computer technician
Safi sana, akutafute bwana achangie kidogo walau urudishe ada uliyolipa huko ulikosoma.

Akija tuwasiliane ukihitaji ushauri.
 
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kiufundi, nina laptop ya dell, kila niki connect adapter kwenye socket alafu nikichomeka kwenye laptop basi taa ya kwenye adapter inazima na umeme unakua hauingii kwenye pc. Ningependa kujua hili tatizo linatokana na nini.
Ndugu expert Ghani amejitokeza yuko tayari kukusaidia wasiliana naye hakuna litakaloharibika mimi nita kuwa backup yake kwenye hilo just in case the push comes to shove.
 
Back
Top Bottom