Hard evidence CBS R

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
Naangalia kipindi kwenye channel ya CBS R kinachoonyesha kesi mbalimbali za watu na wataalu wanavyotumia utaalamu wao kukusanya ushahidi kwa kesi ngumu za mauaji.
Wenzetu wako mbali sana katika teknolojia na katika kukusanya na kufuatilia ushahidi wa kesi mpaka nabaki mdomo wazi.
 
Back
Top Bottom