Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau habari! ninaomba mnisaidie kwa yeyote aliyewahi kutumia hii app ya internet banking ya crdb inapatikana playstore. Kwangu inakataa ku log in na registration ya hii kitu nilishafanya nina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau application gani ni nzuri kwa kuangalia ligi kama uefa n.k katika simu,ninatumia huawei y530
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kuuliza nataka kupiga chini window ya pc yangu ila sina program za kuweka baada ya kupiga chini hasa hasa free antivirus naweza zipata site ipi ili nipate set up zake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"jinsi ya kupata na kudownload application ambazo zinalipiwa kwenye Google play bure na zenye latest version. HATUA YA KWANZA: -download application inaitwa APTOIDE(ni apps ya bure).. ili...
8 Reactions
23 Replies
14K Views
Msaada tafadhali.. Nimenunua cm sony xperia juz kat tatzo inazngua haicopy wala kupaste msgs. Je! ni settings au app gani inaweza kusolve hili tatzo? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
786 Views
Tunatafuta mtu mwenye skills kwa vitendo wa kufix/setup ubuntu linux 14.04 LTS servers kwa ajili ya data center . Contract ni ya week mbili.. ikiwezekana kuanzia next week. Location ni Unguja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natanguliza shukrani, nina simu yangu sumsung galaxy 18730, juzi nili badilisha font style, bwana zilikuja herufi hizo, nikajaribu kuirudisha kwenye default font yake,inaendelea kuonyesha ile ile...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalim. Kwa wanaotumia android operating system kuna application ya jamii forum. Kwenye google play search jamiiforums zitakuja mbili, mimi nimeinstall ya anodexter. Very cool app.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumia tecno P7 imekuja na Whatsup build in najaribu kuitoa niweke whatsup+ nimeshindwa, msaada please..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tunatafuta mtaalamu wa ku design graphics chache tutakazozitumia kwaajili ya Android device app. Ikiwa wewe una sifa, tuwasiliane kwa PM. Thanks
2 Reactions
0 Replies
802 Views
Naomba msaada WA kuremove pin katka tecno H6
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hello! Najaribu kununua music system online nimecheki Ebay na Amazon but most of them haziwi shipped to DSM je kuna njia naweza fanya ziwe shipped DSM? Msaada please.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba niwarudishe nyuma kidogo. Nokia especially Department ya mobile/smartphones imestop kutengeneza smartphones mpya. wengi tumezimiss. hizi cm zimetoka mbali sana toka enzi za n70 na n90...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu wana Jukwaa... Nilikua naomba msaada Jins ya Kutuma Picha zaid ya 100 kwa E-mail/njia rahis. Nashkuru!
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Nimeona watu wengi wakilipia justseed.it,zbigz,bybtex n.k kupata premium accounts kwa ajili ya ku-seed torrent ili ziwe direct downloads.Infact bei nilizozikubali katika hao seeding providers ni...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari ndugu wa jukwaa hili. Naomba msaada wa software inayoweza kufungua ms-word document iliyokuwa imefungwa kwa password lakini bahati mbaya password imesahaulika. Nimejaribu kutafuta kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila nikijaribu inasoma mwisho inasema hakuna software y ku-support Samsung USB Driver for windows 8 Android File Transfer for mac. Microsoft ? Official Home Page...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kam una networklock kweny simu yako ya samsung S series..yaani s1 mpaka s6 basi sasa unaweza toa sim lock bure ndani ya sec 30 tu. kuna apps iko playstore inaitwa Galaxy s unlock ni ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Vifurushi Vyote(*149*99#,*149*81#) Vimeshushwa Mpaka 10MB,Isipokuwa Kile Cha OMG Hili Ni Shinikizo Ama Nini?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…