Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Yenye 32gb iwe kwenye hali nzuri(A1 condition)..mwenye nayo tuzungumze Bajeti yangu ni shilingi laki 6 za kitanzania
0 Reactions
2 Replies
636 Views
Wakuu nina Samsung Galaxy note 4 SM-N910C, balaa la hii simu nimekuwa nikiitumia vizuri tu ila toka juzi , Nikiweka laini ya voda hatusikilizani yaani mimi namsikia mwenzangu yeye hanisikii ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Factors to be considered in order website to be frendly to user
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Karibu social networks/forum nyingi Nina oprion option ya kufuta thread au hata account yangu. Kwann JF haina hiyo option, je imeachwa makusudi? Binafsi sioni maana ya kucontact uongozi ili...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Memory card ina kazi za video na picha za wateja, nilitumia computer ya jamaa flani kuimport mara ghafla ikadai haisomi, ina hitaji kuwa formated, nifanyeje wakuu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau naomba msaada wa kupata fl studio ili nitengeneze beats na pia kama kuna mtu anaweza kuniuzia cd yake kwa Dar.. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Intel waja na high end intel Solid State Drive "SDD" za aina mbili kiuwezo wakuhifadhi vitu moja ikiwa na 400GB na nyingine 1.2TB zikitumia PCIe ambayo ni serial computer expansion bus standard...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanajamvi habari za mihangaiko.. Naomba msaada kama Kuna anaeelewa juu ya hili tatizo langu. Kiufupi ni kwamba nilinunua vocha ya Kenya sh 300 kwa ajili ya kuingiza kwenye Line yangu ya airtel...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar zenu wna Jamii.. Naomba nisaidiwe kuyatambua makampuni mazuri (in terms of proffesionalism) ya networking yanayofunga(installation,configuration and support ) hapa bongo...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
jana nime I update lakini niki play Music haitoi sauti cjajua tatzo lake n nn,naomba msaada plz wanajukwaa Asanteni
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Wadau nina 140,000/=.mnanishauri nichukue smartphone ya aina gani kutokana na hicho kiasi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MTANDAO WA #WWW .TUBIDY.COM hapa utadawnload audio video muvi bongofleva taarab kila ki2 knachopatkana youtube unadawnload pale bla tatzo
0 Reactions
1 Replies
6K Views
polen na majukumu wadau wa jukwaa,kwanza naomba samahan sana wanajamamvi hili.naomba msaada wenu kwa yeyote anaefahamu.jinsi yakuondoa write protect mode kwenye flashi samahan sana naomba kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Heri ya Pasaka Wakuu. Nimeinstall Windows 7 Ultimate kwenye laptop lakini Fn+F2/F3 hazifanyi kazi. Kipindi nainunua ilikuwa na Win 7 na hizo keys zilikuwa zinafanya kazi vizuri. Naombeni msaada...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Msaada ndugu zangu..kwa nn nikiingiza App kwenye google inasema application not installed na kujiweka x ila inajiweka kwenye download
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wakuu nimeuziwa iphone ina icloud nitawezaje kuifungua? Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jf hasa jukwaa hili. Jaman nina decoder yangu ya dstv, imekufa baada ya radi kubwa kupiga, imekataa kufanya kazi upande wa HDMI, hvo nkitaka pata picha mpaka nitumie AV, na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarin wana jukwaa? Naomben msaada ambae anazifaham vizuri Samsung hasa note 2. Nina simu aina ya Samsung galaxy note 2 inasumbua katika upande wa network, imekuwa inakata network kwa mda, na...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
jamani kwa wale wanao ishi iringa mjini wapi naweza nikapata wireless joysticks (game pads) for PC
0 Reactions
1 Replies
594 Views
Naomba kuelekezwa ilipo ofisi ya Lea Associates South Asia pvt limited (civil engineering consultant company) kwa dar es salaam. Ahsanteni.
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…