How do I recover an SD Card of a camera? It says needs format!!

How do I recover an SD Card of a camera? It says needs format!!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Memory card ina kazi za video na picha za wateja, nilitumia computer ya jamaa flani kuimport mara ghafla ikadai haisomi, ina hitaji kuwa formated, nifanyeje wakuu?
 
Kubali kuformat then, Download Minitool Power Data Recovery kwenye site yeyote (illegal) search hapa: http://www.torrentz.eu... Baada ya hapo uta-install hiyo program, then chagua Media Recovery kwenye SDHC yako, baada ya kupata partition list... there you go.. Kumbuka ku-save hizo recovered files kwenye storage device tofauti since ukisave kwenye hiyo memory card yako data zitaji-overwrite ambayo itakua ngumu kufanya recovery ya vitu vingine
 
Back
Top Bottom