Dexaquin
JF-Expert Member
- Feb 7, 2015
- 230
- 80
Habarin wana jukwaa?
Naomben msaada ambae anazifaham vizuri Samsung hasa note 2.
Nina simu aina ya Samsung galaxy note 2 inasumbua katika upande wa network, imekuwa inakata network kwa mda, na ikiwa imekata network kwa mda mrefu inazima. Ukiwasaha inawaka then inazima tena, cjajua tatizo ni nn, cjawahi kuidondosha. Itawaka endapo ukii-connect na charger au ukae kwa mda kidogo then uiwashe upya.
Naomben msaada katika hili.