Mkuu tungependa kujua matarajio yako kutoka kwa smartphone unayoitaka,, itatuwezesha sisi kuweza kukupa muongozo mzuri ambao hautokupa majuto baada ya manunuzi, hadi hapo naweza kukuelekeza kwenye soko la "used smartphones" hnaweza kupata simu nzuri sana kwa bei hiyo mfano:Xperia Tipo, HTC Desire V, Desire C na nyinginezo ijapokua utakua nyuma kwenye suala la Android OS, kama unataka mpya kabisa nenda duka la TECNO wana simu kibao utachagua
Kanunue tecno, 129,000. Usinunue huawei haina flash compared na tecno.