iPhone5s ya goLd

iPhone5s ya goLd

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Yenye 32gb iwe kwenye hali nzuri(A1 condition)..mwenye nayo tuzungumze

Bajeti yangu ni shilingi laki 6 za kitanzania
 
Hujui unachotaka wewe,..nenda kanunue tecno..laki 6 upate simu yanspecs hizo? Au umelewa viroba?
 
Hujui unachotaka wewe,..nenda kanunue tecno..laki 6 upate simu yanspecs hizo? Au umelewa viroba?

U takin petty! Hujui biashara ww' kama hailipi sema nksema bajet mia6 haimaansh nmebak na 0..af inaelekea unazionaga kwenye muvi hzo cm za kawaida2
 
Back
Top Bottom