Nina tatizo kwenye PC yangu aina ya TOSHIBA Kwani touch Pad haifungui program wala hai close Nikiwasha kabla zile program ambazo ninafukuka zenyewe hazijafunguka nikifungua program zinafunguka...
Hi guys,
Jana nimenunua huawei y530 kutoka Tigo ambayo naitumia kama simu yangu ya akiba. leo nimeamua kui-unlock bootloader ili nianze kuifanyia further customizations.
Balaa limekuja baada ya...
New Horizons passes Pluto with space left to explore New Horizons has sent long-awaited confirmation of its successful flyby of the dwarf planet Pluto. The 3-billion-mile journey began nine and...
Ninablog yangu iliyokuwa inatumia template ya google lakini nilikuwa nashindwa kuweka heading zenye dropdown list mwanzoni mwa blog. Hivyo nimedownload template nikaupload kisha nikaedit hizo...
habari za jioni wakuu, poleni na kazi, natumia samsung galaxy 5 (s5) tangu jana simu yangu imekumbwa na tatizo la kuwaka wi-fi automatic. naomba mnisaidie jinsi ya kuondoa hilo tatizo
Wadau tupeane maujanja ya application muimu za android tunazoweza kuzitumia kwenye simu zetu ambazo hazipatikani kwenye Playstore, kwa kuanzia :
1- Kuna application inaitwa TVAPP , hii...
wakuu kama last week nilipost tatizo la tab yng kujerestatrt mfululizo..jana jion ilitulia kidogo so niliweza ku-update software kutoka kitkat to lolipop..so ucku mpaka asbh nilikua natumia vzr...
Matumizi ya simu za windows yanakuwa kwa Kasi Sana. Vipi mods hamuoni Kuna umuhimu WA kuwa na App maalum kwa windows phone badala ya kulazimika kutumia third part apps kama tapatalk etc?
Msaada juu ya dvr tajwa hapo juu mana nimeletewa kazi ya dvr hio kuitoa password mana alyekua ana contol kaiba na kukimbia na ina user mbili naomba msaada jinsi gani nitatoa password ama...
When you pick up the phone and call someone, or send a text message, or write an email, or send a Facebook message, or chat using Google Hangouts, other people find out what youre saying, who...
Habari wakuu,
Nimepata tatizo moja kwenye Account yangu ya Facebook inashare video chafu na kutag marafiki zangu,inakuja kuappear kwenye timeline yangu.Watu wanakuja kunilalamikia.Naomba msaada...
This month once again thousands of eyes will be turned upwards in the west horizon looking for a sacred celestial body. The Moon is the closest celestial body and continually in our eyes at night...