Futa hiyo whatsapp, namaanisha uninstall hiyo whatsapp kisha nenda store download mpya ambayo ni updated hilo tatizo litaisha. Hayo ni matatizo ya simu za tecno.
Kuifuta nenda setting kisha apps kisha utaiona whatsapp bonyeza uninstall.
Ukipata pesa mkuu hama kwenye hizo simu za kichina, tafta simu nzuri original, always cheap is expensive.