tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
wakuu kama last week nilipost tatizo la tab yng kujerestatrt mfululizo..jana jion ilitulia kidogo so niliweza ku-update software kutoka kitkat to lolipop..so ucku mpaka asbh nilikua natumia vzr tu..ila leo kama sa4 hv tatizo limerudi tena..na pia hvy ikirestart hata kama chaji ipo 80 ikiwaka chaji inavary mara 30 mara 56 mara iseme battery low 5% wakati nimetoka kuijaza chaji..yaan haya sielew tatizo ni nini?au ni battery..maana mwanzo nilijua inahitaji updates kumbe sivyo..naomben maoni yenu wakuu Chief-Mkwawa
Last edited by a moderator: