UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 509
Hi guys,
Jana nimenunua huawei y530 kutoka Tigo ambayo naitumia kama simu yangu ya akiba. leo nimeamua kui-unlock bootloader ili nianze kuifanyia further customizations.
Balaa limekuja baada ya ku-unlock iyo booloader ambayo ime unlock bila tatizo, nime flash custom recovery (TWRP custom recovery) kitu ambacho sikuwa aware au nilisahau ni hii recovery kuwa ni ya huawei y300. simu imegoma kwenye fastboot, haikubali chochote njia pekee kuizima ni kutoa betri. nikiweka kwenye chaji au pc inarudi palepale.
nimetafuta stock recovery image ya y530 nimekosa, stock rom ya y530 nimepata ila sijaijaribu maana inataka simu iwe kwenye recovery mode ndio niweze kuitumia.
wataalamu wa hii simu na android kwa ujumla naombeni mnipige tafu hapa