Msaada: Touchpad haifanyi kazi

Msaada: Touchpad haifanyi kazi

Nina laptop yangu ya dell ina window 8 ila touch pad naona haifanyi kazi kila nikijaribu kumove hata cussor haionekani kabisa.... nini tatizo msaada

Hebu Click FN+F5 kwa pamoja
 
Back
Top Bottom