lucious_lyon
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 246
- 291
wataalamu wa technology ni application gani ntakayoipata playstore ambayo itanisaidia kuficha msg na simu mama watoto asizione hata nkiwa nae karibu.
Vault ndo kila kitu, unaweza hata kuibadili jina, unabadili ujumbe unaotokea baada ya txt kuingia na pia unachagua namba unazotaka kuficha sms zake. VAULT niliwahi kuitumia sana na niliweka ujumbe utokee" Threat has been detected "pale txt inapoingia.

hahahahhah hapo bold hahahahahha umetisha
Hahaaaa, ndi hivyo. Unashangaa baby yuko na simu yako halafu txt inaingia , kisha unamsikia " we nae hawa virus kwenye simu yake ulishashindwa kuwafuta?"