Msaada kubadilisha lugha laptop

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
365
500
Habari za muda huu wana JF,
kuna jmaa yangu flani anafanya biashara za vifaa vya electronics vilivyotumika maarufu kama used, juzi nilipita nikakuta kaingiza mzigo mpya katika kuchagua nikakutana na laptop moja ya ukweli ikiwa na windows yake na haina loki wala nini. ila tatizo ni kua hiyo windows inatumia lugha ya kinorway na nimejaribu sana kuibadilisha ila bado sijafanikiwa, naombeni msaada kwa mwenye kuelewa kubadilisha.
OS yake ni Windows 7 home premium
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,756
2,000
Nenda youtube andika change windows 7 language angalia video huku unafatilizia kwenye laptop hio itakuwa ni njia rahisi.

Alternative re install hio windows.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom