Kutengeneza Live Stream Mobile App Inawezekana?

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Heshima kwenu magwiji wa Technolojia!

Bila kupoteza wakati naomba kujuzwa uwezekano wa kutengenezwa kwa Mobile Application yenye uwezo wa ku broadcast live audio visual event na anayeweza kufana hivyo pa anitafute inbox

Nimevutiwa na hili la Chadema linalofanyika Mlimani City. Naomba muongozo katika hili!

Shukurani
 
App ni issue ndogo zipo ready made templates kwa kazi hio na unaweza tumia hata website ya wordpress kufanya kazi hio.

Hapo kazi kubwa ni kutafuta server ambazo zitastream hiyo event na kama unavyojua video zinakula sana bandwitch hivyo hapa ndio mahala muhimu.

Pia itabidi uwe na vifaa ambavyo vitarusha hio video live hadi kwenye server
 
kwenye bandwitch umeniacha kdgo.
 
Possibility ya kupata hizi technicalities ikoje? Mimi nakusudia kuwa na kipindi kinachorushwa moja kwa moja kwenye internet ila sitaki kutumia Tv ndo maana so nifungue macho zaidi mkuu. Shukrani kwa dondoo
 
Ndugu Mkwawa,

Binafsi sina hiyo taaluma ila najuwa ninachokitaka so ushauri wako nauthamini zaidi.

Shukrani
App ni issue ndogo zipo ready made templates kwa kazi hio na unaweza tumia hata website ya wordpress kufanya kazi hio.

Hapo kazi kubwa ni kutafuta server ambazo zitastream hiyo event na kama unavyojua video zinakula sana bandwitch hivyo hapa ndio mahala muhimu.

Pia itabidi uwe na vifaa ambavyo vitarusha hio video live hadi kwenye server
 
Kutengeneza inawezekana, hata mimi naweza tengeneza lakini ntakushauri tu kama unachotaka ni kwa haya mambo ya uchaguzi you are better off kutumia services zilizopo online tu, google streaming services utapata nyingi tu...

Nakwambia hivo sababu kusema ulipie server yako mwenyewe ya kustream audio na visuals ni quite expensive. Kwa audience ya Tanzania hii it won't work unless ungekua unafanya kitu kingine. Hii inafanywa na mtu anayeanzisha kampuni kabisa lakini sio kwa short terms kama unavotaka wewe.
 
Possibility ya kupata hizi technicalities ikoje? Mimi nakusudia kuwa na kipindi kinachorushwa moja kwa moja kwenye internet ila sitaki kutumia Tv ndo maana so nifungue macho zaidi mkuu. Shukrani kwa dondoo

youtube wanayo huduma hii, why usiwatumie wao? app ya youtube kila mtu anayo anaweza kuangalia. kwa maelezo zaidi google youtube live.
 
Back
Top Bottom