3G doungle naweza kutumiaje Tanzania?

3G doungle naweza kutumiaje Tanzania?

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
354
Wakuu naomba msaada wa hili jambo nina tablet inatumia 3Gdoungle sasa naomba msaada wa maarifa jinsi ya kutumia tablet yangu maana haisomi kadi ya simu ya voda wala tigo na internet hamna mpaka nitumie wireless
 
nunua wireless 3 G dongle voda,tigo Airtel smile wanazo
 
Back
Top Bottom