Habari,
Tatizo la bili kubwa ya umeme kwa wateja limekuwa likiwasumbua sana.
Zipo sababu za matatizo ya kiufundi, lakini pia kuna sababu ambazo si za matatizo ya kiufundi.
Tunapokagua nyumba na...
Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa...
MBPS = Mega Bytes Per Second
Mbps = Mega Bits Pee second
Byte 1 ni sawa na Bits 8.
Ukiuziwa internet unlimited unaambiwa ina speed ya 10Mbps haimaanishi MB 10 kwa sekunde, maana yake inaweza ku...
Wataalam.
Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed:
Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja...
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo...
=====
UPDATED: July 2021
This wikiHow teaches you how to download YouTube videos to your computer, phone, or tablet. Keep in mind that while downloading most YouTube videos isn't illegal, it...
Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
Habari waungwana!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini.
Je, kwa simu aina...
Baada ya Airtel Tanzania kuwa wa kwanza Tanzania kuja na hii huduma ya kisasa ya e-SIM, leo Vodacom Tanzania nao wamezindua rasmi hii huduma.
Kuna tofauti gani kati ya eSIM na SIM kadi halisi...
Nahitaji kujua namna ya kuiweka simu yangu iwe na uwezo wa kusoma sms za mtu mwngne hata tukiwa mikoa tofauti,je nifanyaje au nitumie mfumo upi man mambo yangu hayaendi sawa please!
Katika programu nzuri na tamu katika ukokotoaji, uchambuzi, uwasilishaji wa data zilizopo katika namba na kupanga mambo mbalimbali ya kihesabu tunajua Excel Ina fanya yote hayo, Excel imekua...