Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila...
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa...
Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo
Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18
IOS 18 is out now
Kwenye hii nakala nitakuonesha kwa ukamilifu kabisa jinsi ninavyoweza kutengeneza websites zenye mvuto (kama hiyo apo chini) bila ujuzi wowote wa lugha za kompuyta (programming languages) na pia...
Kuwepo Kwa jambo kubwa ambalo ni zuri , ambalo unalimiliki wewe unakuwa na furaha sana na ikiwa jambo hilo anamiliki mtu mwingine basi wewe muda mwingine unakuwa na mawazo labda yule mwenye nalo...
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu...
Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko...
Wakuu habari zenu,
Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel.
Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue...
WhatsApp sijui wana shida gani na mimi?
Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo...
Wanaanga wawili wa kimarekani kutokea shirika la anga la NASA wameshindwa kurudi nyumbani kwa wakati kutokana na chombo walichotumia kufika huko cha Starliner kilichotengenezwa na kampuni ya...
Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App.
Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi.
Na wasilisha Kwa hatua.
Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate...
Wakuu namba yangu kuna kipindi niliitumia muda mrefu sana kwenye gb WhatsApp, ila zilivyoanza zile ban niliachana nayo nikadownload official whatsapp.
Sasa changamoto niliyonayo, namba kwenye...
Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!?
Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa simu za android na simu yangu pendwa ni Samsung lakini huku tunakoelekea naona kabisa nitaisaliti chama.Sababu ni kuwa Samsung wanaiga vitu vingi Sana ambavyo havina...
This is completely unethical and illegal, firstly
1)Get kali linux
2)Get InstaBrute, an instagram bruteforce tool
3)Hack into his/her account
InstaBrute is a Instagram bruteforce exploit...
Sikujua ni leo baada ya kupitia kwenye steampowered ndio nimezikuta.
days gone ambayo niliitamani sana kuicheza inapatikana kwa bei punguzo kutoka usd 49 hadi kwa usd 24 tu kwasasa.
Zingine ni god...
Nimekuwa Nikipata tatizo naweka bando ndani ya muda Mchache naambiwa nimefika asilimia 70 ya kiwango Cha matumizi.
Nikaanza kupunguza matumizi ya YouTube na App zingine za video ila Cha ajabu...