Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa...
1 Reactions
4 Replies
679 Views
Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile. Hata hivyo...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels...
0 Reactions
6 Replies
852 Views
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location. Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
For two years, my Netflix password has been: tricke22ry-notiLonal-freely-soSak-lice-slacken. Yes, really. It is a strong, unique password, and it ticked boxes to reduce the chances of me getting...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello I am a blogger as you are, we online people most of our time we are on our laptops working, so having a side friend to share ideas and having fun with while working it makes things easier...
8 Reactions
15 Replies
825 Views
Hello WanajF Tech, naomba mnisaidie hili suala mbele yenu niko na Samsung A04S nina takribani mwezi sasa nikitaka kupiga Picha napewa notofications Warning Camera Failed nimejaribu Kugoogle sana...
4 Reactions
10 Replies
741 Views
Habarini wana jamvi. Naamini mko vizuri na mungu anasaidia sana. Akaunti Yangu Ina shida . Inashindikana kum follow mtu. Kuna maneno inaleta “Some accounts prefer manually review followers even...
1 Reactions
8 Replies
781 Views
Naomba msaaada anaejua kutengeneza remote ya Bonanza yaani EMP jammar 
2 Reactions
0 Replies
255 Views
Wakuu za majukumu.najua hamjambo,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nilinunua simu aina digit4g energy kutaka vodacom lakni yenyewe ni smart kitochi. Sasa simu hii lazima uweke laini ya voda ndo...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Wenye Camera zao, leo tarehe 19 September wamezindua action camera ya huu mwaka, Action 5 Pro. Directly itaenda ku compete na Flagship ya action camera ya Hero GoPro 13 Black iliyozinduliwa...
5 Reactions
14 Replies
878 Views
wakuu habarin , wapi naweza pata smart kitochi? nahitaj simu ya batan ndogo yenye uwezo wa internet na WIFI ya 3g au 4g kama ipo, nimechoka kutembea na router kila wakati..
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za mchana wakuu. Samahani kila ninapo install Microsoft office 2007 kwenye kompyuta yangu naletewa huu ujumbe " Microsoft setup bootstrapper has stopped working". Nimejaribu kubadili setup...
1 Reactions
5 Replies
614 Views
Habari wana jamvi. Kutokana na changamoto ya gharama za vifurushi tunaelezwa kuwa angalau tukitumia router inapunguzakwa kiasi fulani. Sasa naomba kujua router (MiFi) ya kampuni gani ni nzuri...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Akili mnemba (AI) inafanya kazi kwa kutumia mifumo ya kihisabati na michakato ya kompyuta inayoweza kufuatilia na kuchambua data nyingi kwa haraka. Hapa kuna vipengele vya msingi vinavyofanya...
11 Reactions
16 Replies
3K Views
Baada ya miezi ya kujaribu kufungua (bila kufuta taarifa) simu mbili aina ya iPhone [ iPhone 5 na iPhone 7 ] zilizokua zikitumiwa na gaidi aitwaye Syed Farook (21), Hatimaye FBI yafanikiwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Habarini wataalam wa Jamii Forums.Naomba msaada wenu TV yangu ya HOMEBASE yenye Double glass na picha ya HD ready inanisumbua Sana picha inacheza cheza kama mwanga wa disco.Hali hii inanikera hasa...
2 Reactions
6 Replies
638 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…