Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa...
Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏...
Habari zenu wana tech,
Narudi tena na tena kwa mara nyingine, lengo kuu likiwa ni kufahamishana kuelimishana na kuhamasishana kwenye nyanja hii muhimu ya Tech, Gadgets & Science Forum.
Kama...
Wataalam naomba mnisaidie njia nzuri ya kublock SMS kutoka kwa namba nisiyotaka initumie SMS
Njia hiyo iwe tofauti na ile ya kuinstall apps kutoka play store
Asanteni
Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play...
Hello,
Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range.
Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu...
❤️ Thanks everyone for your support and love!
Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use...
Toyota vx
Toyota Land Cruiser ambapo imetokana na neno la kijapani Toyota Rando-kurūzā?) ni aina ya magari yanayo tumia mfumo wa 4WD atika utendaji kazi wake yakiwa na nguvu na kasi...
Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie...
Hello,
I am a Form Five student at Tambaza High School, studying the PMCs combination (Physics, Mathematics, and Computer Science). My name is Baraka Range. I would like to share my idea with...
Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!.
Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa.
Niruhusu mjadala kwanza Kisha...
Haya ni baadhi ya matukio yanaoendelea katika Tantech association ambapo mimi na wenzangu kushirikiana na shule yetu tuliweza kuomba msaada wa kupata mafunzo mbalimbali Kwenye chuo cha Agakhan...