Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara...
E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini.
Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma...
Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani;
Kwa mfano '6XWE217
' '6WTY54'
Mimi ndiyo...
Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi...
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi..
Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..?
Yaani hata kama simu ipo mbali...
Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya...
Kwa wale wanaomiliki google play console.
Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore.
Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea...
Habari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi.
Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo...
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Nna swali kidogo.
Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu.
Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni...
Habari wakuu.
Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#)
JE NIFANYEJE?
Nilipitia uzi flani humu unaitwa "Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea"
Ndipo...
Kama tangazo linavyojieleza nataka lain ya Router Airtel ile yenye kifurushi cha 70k 10Mbps, router ninayo. Je kuna mtu anaweza akafanya ma nouver nisajili hiyo lain bila kununua router!