Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu mwenye uzoefu wa hizi vitu anijuze mfano ni battery ya Gari 12V capacity 45A.H Mwanzo niliunga na solar now tanesco wameleta umeme nahitaji kuunda back up system na hizo battery iwe ina...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wana jamvi salama? Leo nakuja na swali ambalo nimelifikiria muda mrefu, mzee wangu aliwahi kutumia huu umeme wa inverter ambapo unachaji kupitia umeme wa TANESCO na kuiwasha unapokatika au...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Katika dunia ya teknolojia ya hali ya juu, maroboti yanaweza kuwa na nafasi kubwa katika kutawala na kudhibiti nyanja mbalimbali za maisha ya wanadamu. Hata hivyo, iwapo teknolojia hii itakosa...
1 Reactions
14 Replies
547 Views
Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila...
2 Reactions
4 Replies
542 Views
Habari wakuu, Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo. Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua...
3 Reactions
10 Replies
668 Views
Nina macbook toleo Hilo,je nifanyeje iweze kukubali apps za kuanzia 10.14 Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa na wote naombeni msaada wenu wa mawazo.
1 Reactions
8 Replies
529 Views
Natafuta line ya safaricom ambayo inafanya kazi upande wa mpesa hata kama imewahi kuungwa paypal. Mwenye nayo akiwa dar anauza naomba ani PM
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wataalam hebu fanyeni msaada... Inahitajika vifaa gani kuweza Ku launch digital TV channel...? Nazungumzia vifaa vya kifundi.... Complete set...
5 Reactions
9 Replies
793 Views
Hello bosses Kwa hali ya sasa kumekua na wimbi la watu kukimbilia VPN ili kuaccess internet kwa wanaopata shida ya internet breakdown. Kutumia VPN kuna madhara yake ukiachana na slow speed kwa...
29 Reactions
104 Replies
25K Views
  • Question Question
Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunafurahi kukualika uwe sehemu ya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuaji wa SmartBusiness program ya usimamizi wa biashara ndogo na za kati (SMEs) kote Afrika. Katika webinar hii, utapata kusikia moja...
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Waungwana, mada hapo juu yajieleza. Naomba msaada namna ya kulock baadhi ya chaneli katika king'amuzi cha Azam. Asanteni
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Habari za jion waheshimiwe Nina mpango wa kununua hii laptop aina ya Asus vivobook 15 Core i3 gen 10th Nimeona inasifa nzuri na bajeti yangu inaendana Kuan mdau anaiuza Kwa 400K naona Iko powa...
1 Reactions
3 Replies
743 Views
Habari za Asubuhi wadau wa jukwaa hili ,ni kwamba nina uhitaji wa laptop kwa ajili ya kusomea kozi za OUT pamoja kutype document kadhaa na bajeti yangu ni 300K hadi 370K lakn katika kupita pita...
2 Reactions
4 Replies
517 Views
Habari za muda huu wanajamvi, naomba mwenye ufahamu mzuri na hawa jamaa wanajihita Digatal Regensys, wanajihusisha na digital online training especially upande wa data science and full stack...
0 Reactions
5 Replies
442 Views
Katika zama hizi za tehama ambapo uwezo wa kufikia maudhui kwa njia ya mtandao ni ya muhimu,Mifumo ya uhifadhi ufikiaji wa taarifa za wavuti ni mifumo muhimu sana.Mifumo hii huitwa Web...
2 Reactions
0 Replies
305 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…