Habari wana JF,
Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo.
Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza...
Nina tv ambayo sio smart. Sasa kuna jamaa amenishawishi ninunue tv box ili niweze kupata access ya kustream movie na mechi kwa kupitia tv box kwenye tv yangu.
Je ubora wa hizo tv box upoje?
Vp...
Habari wadau
Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka
Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata.
Naomba...
Miaka ishirini imepita tangu kuachiliwa kwa GTA San Andreas, moja ya michezo inayopendwa na kuheshimiwa zaidi katika tasnia ya michezo ya kielektroniki. GTA San Andreas ilibadilisha standard ya...
Jana usiku, majira ya saa mbili hivi, nilikuwa mahali nikibadilishana mawazo na washkaji, lakini bila kutarajia, nilijikuta macho yangu yakielekea angani ambapo yaliona kitu kilichotafsiriwa...
Hellow watu wangu wa games.
kwawale wanao penda games tu share website mbali mbali za kucheza na ku dawnload PC GAMES
Naanza na hizi;
https://oceansofgamess.com/...
Habari wana JF,
Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo.
Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza...
Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic .
Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa...
Natanguliza shukurani kwa msaada katika shida hii
Nawezaje kupata Sim Network Unlock Pin kwa simu ya Samsung, nikiwasha inakuja na pop up scree isemayo SIM unlock Network PIN, niki dismiss...
Wasaalam Natumai Hamjambo Kabisa...!!
Wakuu nisaidieni jinsi ya ku connect DLS 2024 nataka kutembeza kichapo mahali halafu mtu nnaetaka kucheza nae yupo Marekani.
Mie nipo Tanzania msaada tafadhali
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in...
Hello
Napataje subtitle ‘English’ kwa baadhi ya channel mfano Colors International na Star Life kwa Azam Tv
Nimejaribu kila mbinu mpaka kifanya Factory reset lakini naambulia patupu 🥹🥹🥹
Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia...
Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you...
Taasisi ya Kitaifa ya Afya na Ubora wa Huduma (NICE) ya Uingereza imesema teknolojia ya Akili Mnemba (AI), itasaidia kuongeza Uhakika wa Majibu ya Vipimo vya X-Ray kwakuwa ina uwezo wa kuona...
Wakuu naomba kuuliza.
Je, ni kujaza wino kwenye printer hizi za kawaida za Tshs 400k-600k nitaprint kurasa ngapi Hadi wino kuisha na wino wa kuijaza printer unauzwa Tshs ngapi?
Kwema wakuu
KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi.
1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications.
2. Kwenye...
Wakuu mwenye uzoefu wa hizi vitu anijuze mfano ni battery ya Gari 12V capacity 45A.H Mwanzo niliunga na solar now tanesco wameleta umeme nahitaji kuunda back up system na hizo battery iwe ina...