Kampuni ya Austin imetengeneza choo cha kisasa chenye kamera๐ธ kwa ajili ya afya yako ๐ฒ. Unaweza sema wamechanganyikiwa awa jamaa au lah lakini ndo uwalisia sasa.
Teknolojia hiyo mpya inaitwa...
Hello JF,
Nina vitu vingi vya kushare na ninyi pia mengi ya kuongea na ninyi wateja au wadau wote kwa ujumla juu ya kununua hivi vitu vya kieletroniki kama vile Tv, Home threater, pasi, na vitu...
PASSWORD (NYWILA) IMARA NI MUHIMU ILI KULINDA TAARIFA ZAKO KATIKA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI NA PROGRAMU TUMIZI
Password au Nywila imara na ya kipekee ni muhimu ili kulinda taarifa zako na programu...
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google...
Habari wana Tech wa JF?
Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu
Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin...
Wana sayansi toka nchi ya kenya wameweza kugundua vijidudu wadogo wadogo ambavyo vinaweza kuharibu polystyrene, plastiki yoyote kwa usaidizi wa bakteria wa tumboni.
Madaktari hao wamegundua...
Wasalaam wana tech,
Kama tunavyojua uelewa wa computer bado sio mkubwa sana kwa watumiaji wengi wa kawaida, mambo ya virus & malware hayatiliwi mkazo sana na watumiaji, mtumiaji anachojali...
๐ก๐ผ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐ฏ๐ฎ๐ญ๐ฌ ๐ถ๐บ๐ฒ๐ฟ๐๐ฑ๐ถ ๐ง๐ฒ๐ป๐ฎ ๐ฏ๐ต๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฐ ๐ท๐ฒ ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ถ๐ป๐๐ป๐๐ฎ ??
Unakumbuka Ile simu original ya Nokia 3210 iliyoachiwa mwaka 1999. Hatimaye imerudi Tena kwa mara nyingine mwaka 2024.
Simu hii...
Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi-
1-create users with different roles and permissions
2-add stock
3-sell stock
4-truck proft and usage
5-view and export...
5G Technology:
Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za...
Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, nimeona niandike makala hii...
MKBHD kila siku ziendazo mbele anazidi kuyatimba.
Juzi alikua ana review camera ya DJI Action 5 Pro akaonekana anaendesha Porsche zaidi ya 90 mph kwenye kibao cha School zone 35mph.
Mashabiki...
Baada ya usalama wa taifa Canada kuifanyia tathmini App ya TikTok inayomilikiwa na kampuni ya kichina ya ByteDance wameiamuru kampuni hiyo kufunga ofisi zake Canada mara moja, app yenyewe...
Microsoft wameachia feature mpya kwa watumiaji wa windows 10 na windows 11 kuweza kuhamisha files lolote toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta bila waya, Unatumia mfumo wa wireless tu kuweza...
Mwana YouTube wa zamani Jake Paul na bondia mashughuli Mike Tyson wamekua wakitishiana kitambo kuzichapa kuonyeshana mbabe nani toka July's 20 mwaka huu 2024 lakini pambano lilighailishwa...
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐น๐ฎ ๐ง๐ฒ๐๐น๐ฎ ๐น๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ๐ป๐ป๐ฒ ๐
Watu wa nne wenye umri kati ya miaka 26 mpaka 32 waliweza kupoteza maisha kwenye jiji la Toronto nchi ya Italian Baada ya gari aina ya Tesla kuwaka moto baada...